Yanayowapasa Watoto wa Kiislamu Kuyajua

Huu ni Mradi unaokusanya silabasi nyepesi na rahisi ya maswala yasiyopaswa kwa Muislamu kutoyajua, unakusanya Maswala ya Itikadi, Sheria, Historia, na Adabu, na Tafsiri, Hadithi, Maadili, na Dua, na inawafaa hasa Watoto, na watu wa rika zote, na wageni katika Uislamu.